BONGO NEWS TV
BONGO NEWS TV
  • 5 038
  • 56 482 146
" KAMA HAMKUAMBIWA SISI TUMEAMBIWA" DKT BITEKO, MFANO WA SIMBA NA PUNDA ULIVYOWAVUNJA MBAVU KATORO,
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Mashaka Biteko amewaacha hoi wananchi wa Katoro mkoani Geita baada ya kutoa mfano wa watoto wadogo wa Simba na Punda huku akiishia kusema "Kama hamkuambiwa sisi tumeambiwa|
#sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Instagram @bongonewstz twitter @bongonewstz na Facebook @bongonewstz
Переглядів: 44

Відео

DKT BITEKO APASUKA, AKEMEA JANJA JANJA YA WAKANDARASI REA, ATAKA HAKI UTEKELEZAJI WA MIRADI
Переглядів 1422 години тому
Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha kwa wakati na REA kuwasimamia wakandarasi kwa kutenda haki. Hayo yamebaibishwa leo Agosti 20, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya utekelezaji wa Mir...
URIO AVUA LA ZAMANI AVAA JIPYA, ATANGAZWA NAIBU MEYA KINONDONI , HII HAPA KAULI YAKE YA KWANZA
Переглядів 832 години тому
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa pamoja wamempa kura ya ndio Michael Urio kuwa Naibu Meya wa manispaa hiyo ambapo madiwani waliohudhuria kikao hicho walikuwa 21 kura zilizopigwa zikawa 21 na kura zote 21 zilikuwa za kumkubali Urio #sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Ins...
KIBABE ZAIDI, SHUHUDIA WANAODAIWA KUBAKA NA KULAWITI WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI DODOMA
Переглядів 3454 години тому
Watu wanne wanaodaiwa kumfanyia vitendo vya kinyama binti mmoja mkazi wa Yombo Dovya Dar es Salaam leo Agosti 19, 2024 wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao ...
DKT. BITEKO: MARATHON ZITUMIKE KUWAPA TABASAMU WENYE UHITAJI
Переглядів 664 години тому
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa rai kwa wadau wote wa Sekta ya Michezo kutumia Marathon zinazofanyika kupeleka tabasamu kwa watu wenye uhitaji mbalimbali kwa kuwawezesha kupata huduma muhimu za kijamii zikiwemo huduma za Afya. Dkt. Biteko amebainisha hayo leo Agosti 18, 2024 wakati wa Kilele cha CRDB Bank International Marathon 2024 iliyofanyika katika viwan...
BAADA YA KUTEMWA UMMY AFUNGUKA, NIMEYAPOKEA MABADILIKO KWA MOYO WA UKUNJUFU NA SHUKRANI, ASANTE RAIS
Переглядів 2599 годин тому
Kauli ya kwanza ya aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa hii hapa, amesema amepokea mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kwa moyo wa shukrani. msikilize sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Instagram @bongonewstz twitter @bongonewstz na Facebook @bongonewstz
YANGA YALAMBA SH20MILIONI GOLI LA MAMA BAADA YA KUBAMIZA VITAL O, MAGOLI 0-4
Переглядів 749 годин тому
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amendelea kuweka hamasa kubwa katika Michezo ambapo anatoa Tsh Milioni 5 kwa kila goli kwa timu ya ndani itakayoshinda. #sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Instagram @bongonewstz twitter @bongonewstz na Facebook @bongonewstz, ...
RC MAKONDA AZIBANA MAMLAKA ZA MAJI, AFUNGUKA MENGI KUHUSU HALI YA AUPATIKANAJI WAKE ARUSHA
Переглядів 3629 годин тому
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumamosi Agosti 17, 2024 anaongoza kikao kazi maalum kati yake na Maafisa wa mamlaka za maji Mkoa wa Arusha, kikao kinachojadili kuhusu hali ya upatikanaji wa majisafi, ya uhakika na salama mkoani Arusha na namna ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwenye upatikanaji wa majisafi ya uhakika mkoani Arusha. #sports #entertainme...
WAKULIMA MENO YOTE NJE, TFRA YAPELEKA MBOLEA YA RUZUKU NZEGA
Переглядів 8212 годин тому
Katika kuhakikisha Mpango wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuinua Uchumi kupitia Kilimo kwa kuwawekea mazingira bora wakulima, Wizara ya kilimo Kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wameendelea na Kampeini ya kuhamasisha Matumizi Sahihi ya KILIMO NI MBOLEA, ikilenga kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea na kuhamasisha usajili wa wakulima kwenye mfumo wa kidigitali wa mbolea z...
RC MAKONDA AAGIZA JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE KISONGO KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA MOSI
Переглядів 20412 годин тому
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Ijumaa Agosti 16, 2024 ameagiza kukamilika haraka kwa ujenzi wa jengo la abiria kwenye uwanja wa ndege wa Arusha (Kisongo), ili kuwezesha jengo hilo kuanza kufanya kazi Septemba Mosi mwaka huu. Mhe. Makonda ametoa maagizo hayo wakati alipofika kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo la abiria ambalo litakuwa na uwezo wa kuhudumia kwa waka...
VYEO VYENU VINAVIZIWA KWA MANENO MATAMU NA FITINA, RC CHALAMILA AWAAMBIWA MADIWANI NA WABUNGE
Переглядів 8014 годин тому
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalaam Albert Chalamila amefurahishwa kuwepo kwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo kwenye mkutano wake wa hadhara akieleza kuwa ufanyaji kazi wa pamoja katika ya Madiwani, Wabunge na ofisi yake unawekwenda kutatua kero za wananchi. #sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya...
SHUHUDIA JINSI RC CHALAMILA ALIVYOINGIA KWENYE 18 ZA WANAFUNZI"MKURUGENZI PELEKA DAWATI 50"
Переглядів 15014 годин тому
SHUHUDIA JINSI RC CHALAMILA ALIVYOINGIA KWENYE 18 ZA WANAFUNZI"MKURUGENZI PELEKA DAWATI 50"
"TUMEJIANDAA KITAELEWEKA" WATANO KUIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA HISABATI AFRIKA KUSINI
Переглядів 6619 годин тому
"TUMEJIANDAA KITAELEWEKA" WATANO KUIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA HISABATI AFRIKA KUSINI
CHADEMA KWAFUKUTA, KIGAILA ALAANI KUSHIKILIWA KWA VIONGOZI, HATUKUBALI KUZIMWA ZOTE,NYEKUNDU ITAWAKA
Переглядів 7719 годин тому
CHADEMA KWAFUKUTA, KIGAILA ALAANI KUSHIKILIWA KWA VIONGOZI, HATUKUBALI KUZIMWA ZOTE,NYEKUNDU ITAWAKA
MSEMAJI WA SERIKALI: ACHENI KUPOTOSHA KAULI ZA VIONGOZI, WALIOPISHA MIRADI WATALIPWA KISHERIA
Переглядів 140День тому
MSEMAJI WA SERIKALI: ACHENI KUPOTOSHA KAULI ZA VIONGOZI, WALIOPISHA MIRADI WATALIPWA KISHERIA
TUNDU LISSU: NITAKIHAMA CHADEMA KIKIACHA MISINGI YAKE, SIO MAMA YANGU
Переглядів 368День тому
TUNDU LISSU: NITAKIHAMA CHADEMA KIKIACHA MISINGI YAKE, SIO MAMA YANGU
NI CHAMA CHA BIASHARA SIO DEMOKRASIA, PENEZA AIBOMOA CHADEMA VIKALI
Переглядів 195День тому
NI CHAMA CHA BIASHARA SIO DEMOKRASIA, PENEZA AIBOMOA CHADEMA VIKALI
CHEKI JINSI MCH. MSIGWA ANAVYOMSAGIA KUNGUNI MBOWE, CHINI YA RAIS SAMIA UCHUMI UMEPAA
Переглядів 28514 днів тому
CHEKI JINSI MCH. MSIGWA ANAVYOMSAGIA KUNGUNI MBOWE, CHINI YA RAIS SAMIA UCHUMI UMEPAA
MWANZO MWISHO, MADAME PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN ALIVYOITEKA MOROGORO, KILA KONA WAPAGAWA
Переглядів 33714 днів тому
MWANZO MWISHO, MADAME PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN ALIVYOITEKA MOROGORO, KILA KONA WAPAGAWA
SHUHUDIA JINSI RAIS SAMIA ALIVYOITEKA MOROGORO, SHUGHULI ZASIMAMA KWA MUDA MAELFU WAFURIKA UWANJANI
Переглядів 51414 днів тому
SHUHUDIA JINSI RAIS SAMIA ALIVYOITEKA MOROGORO, SHUGHULI ZASIMAMA KWA MUDA MAELFU WAFURIKA UWANJANI
MRISHO MPOTO ATIKISA KILOMBERO, AWANYANYUA MAWAZIRI NA VIONGOZI WAKUU, AMPA MAUA YAKE RAIS SAMIA
Переглядів 14214 днів тому
MRISHO MPOTO ATIKISA KILOMBERO, AWANYANYUA MAWAZIRI NA VIONGOZI WAKUU, AMPA MAUA YAKE RAIS SAMIA
RAIS SAMIA AMKUMBUKA HAYATI BENJAMINI MKAPA, ASEMA ALIKUWA BABA WA TAASISI, MIFUMO NA MAGEUZI
Переглядів 19714 днів тому
RAIS SAMIA AMKUMBUKA HAYATI BENJAMINI MKAPA, ASEMA ALIKUWA BABA WA TAASISI, MIFUMO NA MAGEUZI
WAKULIMA WA AMIWA WAMSAGIA KUNGUNI MBUNGE MPINA, " HATUMFAHAMU, HATUJAWAHI KUONGEA NAYE
Переглядів 4221 день тому
WAKULIMA WA AMIWA WAMSAGIA KUNGUNI MBUNGE MPINA, " HATUMFAHAMU, HATUJAWAHI KUONGEA NAYE
HISTORIA IMEANDIKWA MAJI ZIWA VICTORIA YAFIKA KISHAPU, ZIADI YA WATU ELFU 15 KUNUFAIKA
Переглядів 8921 день тому
HISTORIA IMEANDIKWA MAJI ZIWA VICTORIA YAFIKA KISHAPU, ZIADI YA WATU ELFU 15 KUNUFAIKA
KIMEELEWEKA, RAIS SAMIA KUZINDUA SAFARI ZA TRENI YA MWENDOKASI DAR-DODOMA, HISTORIA MPYA INAANDIKWA
Переглядів 78321 день тому
KIMEELEWEKA, RAIS SAMIA KUZINDUA SAFARI ZA TRENI YA MWENDOKASI DAR-DODOMA, HISTORIA MPYA INAANDIKWA
VYOMBO VYA ULINZI VYAKUTANA VYATOA TAMKO ZITO KUHUSU KUPOTEA NA KUTEKWA KWA WATOTO,
Переглядів 23321 день тому
VYOMBO VYA ULINZI VYAKUTANA VYATOA TAMKO ZITO KUHUSU KUPOTEA NA KUTEKWA KWA WATOTO,
KIBOKO YA WACHAWI CHALI, WAUMINI WATINGA IBADANI, WALAANI KANISA KUFUNGWA, WAMTAKA KIBOKO YAO
Переглядів 2,6 тис.21 день тому
KIBOKO YA WACHAWI CHALI, WAUMINI WATINGA IBADANI, WALAANI KANISA KUFUNGWA, WAMTAKA KIBOKO YAO
SHUHUDIA WAZIRI AWESO AKIYASAKA MAJI, AWEKA KAMBI SINGIDA KUYATAFUTA CHINI YA ARDHI
Переглядів 11521 день тому
SHUHUDIA WAZIRI AWESO AKIYASAKA MAJI, AWEKA KAMBI SINGIDA KUYATAFUTA CHINI YA ARDHI
UWEKEZAJI WA BILIONI 429 BANDARI YA TANGA WAZAA MATUNDA, SASA WANAKUSANYA SH38.7BILIONI
Переглядів 93821 день тому
UWEKEZAJI WA BILIONI 429 BANDARI YA TANGA WAZAA MATUNDA, SASA WANAKUSANYA SH38.7BILIONI
GF MIGUU YOTE KWENYE KILIMO, SASA KUKOPESHA MAGARI, MITAMBO YAINGIA UBIA NA EFTA
Переглядів 47221 день тому
GF MIGUU YOTE KWENYE KILIMO, SASA KUKOPESHA MAGARI, MITAMBO YAINGIA UBIA NA EFTA

КОМЕНТАРІ

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 години тому

    NDEGE MPYA ZANZIBAR? KUNA NINI HAPA? KESHO UTASIKIA AIR ZANZIBAR

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 7 годин тому

    Msibabaishe,watu,iyo,ndege,ya,bara

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 9 годин тому

    Wacheni siasa zenu za Ubaguzi ccm Zanzibar hamtakiwi.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 9 годин тому

    Atcl ni ndege ya TANGANYIKA

  • @SuleimanMussa-x5i
    @SuleimanMussa-x5i 11 годин тому

    Iyo ndege ni ya Tanganyika

  • @user-kz1br1ld1l
    @user-kz1br1ld1l 14 годин тому

    AAA lakini angalia naawo wakija kukamata madaraka tena mtaumia

  • @nassorcholo2515
    @nassorcholo2515 16 годин тому

    Hii ni yatanzania

  • @HassanMchoro
    @HassanMchoro 23 години тому

    Mm hp naona usanii tu tunofanyiwa wazanzibar tunafanywa watoto

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 День тому

    Kwan hii ndegevni ya Tanzania au zanZibar , Maan naon imeandika air tanzania

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 День тому

    Raisi Samia jitahidi watanganyika tuwamalize miaka hii ,Fanya ufanyavyo ndege mbili ziwe Mali ya Zanzibar,pesa Lete huku zakutosha ,wanetudhulumu Kwa miaka mingi hao

  • @section8ight174
    @section8ight174 День тому

    Lovely lady but lacks energy & conviction in her statements like the MIGHTY Magufuli (RIP) I’d have Prof. Kabudi, Makonda etc any day of the week!!

  • @MartinLilenga
    @MartinLilenga 2 дні тому

    Kichwa

  • @PoulJoseph-m9w
    @PoulJoseph-m9w 2 дні тому

    Nakukubali netanyahu mungu azadi kupa nguvu na kukutangulia dhidi ya maadui

  • @MussaWazili-bv6vx
    @MussaWazili-bv6vx 3 дні тому

    Viva iran❤❤❤

  • @tobee7268
    @tobee7268 3 дні тому

    Inshaa allah Kheri na huduma safi kabisa

  • @emanuelkitiku690
    @emanuelkitiku690 3 дні тому

    Wanapo niboa tu uccm ukome😊

  • @MsafiriMabewa
    @MsafiriMabewa 5 днів тому

    Magufu

  • @emmerfelixy818
    @emmerfelixy818 5 днів тому

    Sureeee..or ya kitambo

  • @emmaphabian8362
    @emmaphabian8362 5 днів тому

    Leo nimekuwa wa kwanza wapi likes zangu

  • @YoelRyoba
    @YoelRyoba 6 днів тому

    Kabudi tunaomba utunge kitabu cha history hito

  • @stewartmonyo
    @stewartmonyo 10 днів тому

    🎉👏👏👏👏👏👏👏👏🎁🎁🎁🎁🎁

  • @fptouchz7955
    @fptouchz7955 10 днів тому

    Saaafi kazi kubwa inayofanywa na Mh Raisi

  • @richardfandi624
    @richardfandi624 10 днів тому

    We mwmba hatari sana jinsi unavyotiririka.

  • @abelvita7298
    @abelvita7298 14 днів тому

    Nmekuelewa

  • @JoshuaSamunge
    @JoshuaSamunge 14 днів тому

    Doctor msukimma wewe unaweza hata kuwa rais

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 18 днів тому

    Hawa hajui walisemalo baba wasamehe

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 18 днів тому

    Ogopa watu wasomi kushangilia ivo wew acha kabisa

  • @HasinaIbrahim-bu5kq
    @HasinaIbrahim-bu5kq 18 днів тому

    Mbn hajamshukuru rais Samia au kumshukuru

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 18 днів тому

    Amina mungu baba😂😂😂 waovj wamenuna

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 18 днів тому

    Asante.Roho.Mtakatifu. kwa kupokea Sala zangu.Tz.Inazaliwa Upya.Mfumo Haki.Sasa.Sifa.Enzi Na Shukrani.Nimependa Sana.Asanteni Wote Mliofanya.Nayo Iujue Ukweri.Wachezea na kuvuruga KATIBA.Mrudieni Mungu.Taifa.ni letu.Sio la Wavuruga HAKI.Mmekwisha Habari.Mikataba Ovyo na Feki Kwisha Habari Yake.Saluti❤Mwamba.Mwabukusi.❤❤❤.Tuone Vitendo.Aimarishiwe Ulinzi Mara Mabilioni.Mungu.Akurinde.

    • @jalaryababilasi1562
      @jalaryababilasi1562 18 днів тому

      Amina ndg yang we nae Bana niache mwenzio ninagaragara na furahaaaaaa😂😂😂 mwabukusiiiiii oyeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @diltondilunga9915
    @diltondilunga9915 18 днів тому

    Wanasheria wasimame imara kulinda na kutetea rasilimali za nchi yetu zisiliwe,

  • @mussamsigiti2733
    @mussamsigiti2733 19 днів тому

    Haki 😅😅😅

  • @joycembogo7870
    @joycembogo7870 19 днів тому

    Tuko pamoja mpina tutachanga tui

  • @DifaRobelindo-cj2ij
    @DifaRobelindo-cj2ij 20 днів тому

    Viva israel

  • @JumaSomanga
    @JumaSomanga 20 днів тому

    Anafaa kuwa rais

  • @EmmaMassawe-y9z
    @EmmaMassawe-y9z 20 днів тому

    EMMANELl. MASSAWE

  • @MakunyanziPeter
    @MakunyanziPeter 21 день тому

    Mungu awatangulie na akawe msemaji wenu na tunawaombea

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 21 день тому

    Mpina ni mtu na nusu,songa mbele tuko nyuma yenu wakombozi wetu. Rwegemeleza haujawahi kufeli kwenye haki nakuelewa sana kiongozi

  • @WilliamSamwel-vh5op
    @WilliamSamwel-vh5op 22 дні тому

    Ndio wale wale😢

  • @jeremiamtawa3481
    @jeremiamtawa3481 22 дні тому

    Kwa kweli kwa majina ya wachezaji yanga wanao

  • @Pili-t3t
    @Pili-t3t 22 дні тому

    Hamna chochote nyie

  • @LovelyAlpineVillage-ef8hh
    @LovelyAlpineVillage-ef8hh 22 дні тому

    Iv mbona kichwa cha habari hakisadifu yariyomo

  • @nasibuathumani7705
    @nasibuathumani7705 23 дні тому

    Kwer mtu awez kujichunguza mwenyewe

  • @user-kn1tw1cy7l
    @user-kn1tw1cy7l 23 дні тому

    Hamna akili nyie hd mchungaji wenu

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 23 дні тому

    Tunaomba hiyo barua msajili aifanyie marekebisho kilamtu anaonywa na ckufungia ibada mtaleta mtafaruku

  • @GeneAustine
    @GeneAustine 23 дні тому

    Wajinga wakubwa

  • @rajabumuyumbu4586
    @rajabumuyumbu4586 23 дні тому

    wakiristo ni watu walio potea na mayahudi ni watu walio kasirikiwa na allah qor an haiongopi tegemeeni mengi sana

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 24 дні тому

    Well done karibuni sana

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 24 дні тому

    mnaimani na mtu na siyo tena Mungu

    • @samweli7985
      @samweli7985 23 дні тому

      Mnawezaje kusema mnampenda mungu msiye mwona Wakati, mnachukia huyu mtu mnae mwona

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 23 дні тому

      Wewe uliyewahi kumuona Mungu, ulimwona na mikono mingapi na miguu mingapi? Je, kwa kile ulichokishuhudia mpaka ukamwamini, je huyo Mungu alikkuwa uchi au alivaa nguo? KUWA NA AKILI, TUMEMFAHAMU MUNGU KUPITIA WANADAMU, MITUME NA MANABII AMBAO WOTE NI BINADAMU.

  • @patomngoeh7481
    @patomngoeh7481 24 дні тому

    Sisemi kitu